Alhamisi, 23 Februari 2017

MAJUKUMU YA MFUKO WA PSPF

}Yaliyomo

  §Historia ya Mfuko§Majukumu ya Mfuko§Huduma zitolewazo na Mfuko§Fursa zilizopo PSPF§Mafanikio ya Mfuko§Hitimisho

}Historia ya PSPF

PSPF ni Taasisi ya hifadhi ya jamii iliyoanzishwa kwa Sheria Namba 2 ya Mafao ya Hitimisho la kazi kwa watumishi wa Umma ya mwaka 1999 (The Public Service Retirement Benefits Act No.2 of 1999). Baada ya kufutwa sura 371 ya sheria ya Pensheni ya mwaka 1954.

}Mabadiliko ya Sheria

Mabadiliko ya sheria katika sekta ya Hifadhi ya jamii yamesababisha yafuatayo:
}uhuru wa kuandikisha wanachama kutoka sekta zote.
}uhuru kwa mtumishi mpya kuchagua Mfuko autakao.
} Kuanzishwa kwa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari -  PSPF (PSS) ili kuongeza wigo wa wanachama wake.

}Majukumu ya Mfuko

}Kutambua na kuandikisha wananachama.

}Kukusanya Michango kutoka kwa waajiri na wanachama.

}Kutunza kumbukumbu  za wanachama.

}Kuwekeza michango ili kuzalisha faida.

}Kulipa mafao.


}KuandikishaWanachamaKutambua na kuandikisha wananachama ambapo hadi kufikia Desemba 2014 Mfuko ulikuwa na wanachama 348,678 wanaoleta michango katika Mpango wa Lazima, na wanachama 34,954 katika Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS).


}Kutunza Kumbukumbu

Takwimu za Disemba 2014 inaonyesha ifuatavyo:

}Wanachama wachangiaji 348,678;

}Wastaafu na wategemezi 57,261


}Kukusanya Michango

}Mfuko unawajibika kukusanya michango na kutunza taarifa za michango ya wanachama. Kwa kipindi cha miaka 5, michango iliyopokelewa na Mfuko ni: - 2013/14   - shilingi bilioni   585.30 -  2012/13   - shilingi bilioni   516.34 -  2011/12    - shilingi bilioni   444.10 -  2010/11    -  shilingi bilioni   392.90 -  2009/10   - shilingi bilioni   239.20


}Mafao yanayotolewa na PSPF Mpango wa Lazima (PSPF Main Scheme) 

}Fao la Uzeeni
}Fao la Ulemavu/Ugonjwa
}Fao la Kifo
}Rambirambi ya Mazishi
}Fao la Wategemezi
}Fao la kujitoa na
}Fao la kufukuzwa/kuachishwa kazi.


}Fao la Uzazi

Asilimia 130%
ya mshahara
bila makato yoyote
hadi watoto wanne.


}Fao la Uzazi

üLilianzishwa rasmi Julai 2014,
üKiwango ni 130% ya mshahara wa mtumishi,
üMwanachama atachangia kwa miaka 2 kuanzia Julai 2014,
üLitaanza kulipwa Julai 2016.

}Mkopo wa Jipange kimaisha na PSPF

}Mfuko unatoa mkopo wa kuanza maisha kwa wanachama wake wapya kwa masharti nafuu Michango miezi 6 kipindi kisizidi miezi 12Mkopo ni hadi mishahara ya miezi mitatuMarejesho ni hadi miaka 2

}Mkopo wa Elimu kwa
wote

}Mfuko unatoa mkopo wa elimu kwa wanachama katika chuo chochote atakachopata na anaweza kurudisha ndani ya miaka mitano.

}Mafao yanayotolewa na Mpango wa Hiari

Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS) -Fao la Elimu, -Fao la Ujasiriamali,  - Fao la Uzeeni,
 -Fao la       Ulemavu,
 -Fao la Kifo, na -Fao la kujitoa.

Kima cha chini cha uchangiaji ni shs 10,000/= tu   na hakuna kima cha juu.


}Uwekezaji


Mfuko umewekeza katika vitega uchumi mbalimbali na unazingatia kanuni za uwekezaji ambazo ni;


§Usalama (Safety),§Faida (Yield),§Ujazo wa fedha (Liquidity,) na§Uwajibikaji wa Kiuchumi (Economic and Social Responsibility).


}Uwekezaji Mbalimbali


Nyumba 666 zilizojengwa na Mfuko kwa ajili ya kuwakopesha wanachama na wananchi kwa marejesho ya hadi miaka 25.


 }Huduma kwa Wateja


§Mtandao wa ofisi katika mikoa yote ya Tanzania iliyounganishwa na teknolojia ya kisasa. §Kibanda cha taarifa (Information Kiosk)§Tovuti kwa taarifa mbalimbali kwa wanachama (www.pspf-org.tz)

§Huduma kwa njia ya sms kupitia mtandao wa Vodacom au Airtel ijulikanayo kama “PSPF PAMOJA NAWE”  (PSPF – 15357)

§Kitengo cha huduma kwa njia ya simu (Call Centre unit) kwa wateja (022 5510400).

}Fursa/Huduma za PSPF kwa wanachama

§Mkopo wa kuanzia maisha

§Mkopo wa elimu kwa wanachama

§Mikopo ya fedha taslimu kwa ajili ya ununuzi, ujenzi au ukarabati wa nyumba za makazi kwa wanachama waliobakiza miaka 5 kustaafu kwa lazima. Ambapo mwanachama anaweza kukopa hadi 50% ya Kiinua Mgongo

§Mikopo ya pensheni ya kila mwezi isiyo na riba.

§Mstaafu kupata mkopo kupitia Benki ya Posta wa kipindi kisichozidi miezi 36 kwa riba ya 12%. 

§Mwanachama wa Mfuko wowote wa Hifadhi ya jamii anaweza kujiunga na PSPF kupitia Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS).

}Fursa zilizopo PSPFMikopo ya nyumba za makazi zilizojengwa na PSPF.

Mikopo ya nyumba za makazi zilizojengwa na PSPF
Mikopo ya nyumba za makazi zilizojengwa na PSPF. 
Mikopo ya nyumba za makazi zilizojengwa na PSPF.
Jumla ya nyumba 666 zimejengwa DSM (491), Morogoro (25), Mtwara (50), Shinyanga (50), Tabora (25) na Iringa (25).
§Nyumba hizi zimewekewa bima ya majengo na;
§Mwanachama anaponunua au kukopa ndipo hukatiwa bima ya maisha; 
§Bei za nyumba
DSM: Tsh 66.08 – 83.78 milioni (na VAT) Mikoani: Tsh 61.36 – 74.34 milioni (na VAT)
§NAMNA YA UNUNUZI WA NYUMBA HIZI:

üUnunuzi kama Mpangaji (Lease Hold Financing) kwa Tshs 450,000/=  hadi  813,000/=  kwa mwezi.

üMkopo wa Nyumba Kupitia Benki (Mortgage Basis, malipo ni hadi miaka 25.

üMalipo ya Mara Moja (Outright Purchase).

}Mafanikio ya PSPF

§Kukua kwa kasi kutoka shilingi bilioni 36.5 Juni 2000 hadi  Shilingi trilioni 1.30 Juni 2014.

§Ujenzi wa nyumba za makazi kwa ajili ya kukopesha wanachama na wananchi.

§kusogeza huduma kwa wateja wake kwa kuwa na ofisi katika Mikoa yote ya Tanzania bara na Zanzibar.

§Udhibiti wa matumizi ya uendeshaji wa Mfuko kwa kutumia mifumo madhubuti ya habari na wafanyakazi wenye ari na ueledi.


Hitimisho.

Kwa wanaoanza ajira
PSPF ni chaguo lako sahihi.

Kwa wanachama wetu
PSPF pamoja nawe

Kwa wastaafu PSPF tulizo la wastaafu


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni